EFL ILISHIRIKI KILI MARATHON 2022

Baadhi ya wafanyakazi wakiwa wameambana na Mwenyekiti wa bodi ya Enterprise Finance Limited (EFL) Prof. Goodluck Urassa wameshiriki mbio za marathoni (KILI-MARATHON) zilizofanyika Jumapili tarehe 27/02/2022.

 

wameshiriki

Utamadunui wa kuandaaa na kushiriki michezo mbalimbali katika jamii yetu umekuwa utamaduni endelevu wa taasisi ya Enterprise Finance Limited (EFL), Hivyo basi  imepelekea