EFL ILISHIRIKI KILI MARATHONI

Baadhi ya wafanyakazi wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Enterprise Finance Limited  Prof. Goodluck Urassa wameshiriki vyema mbio za marathoni ( KILI MARATHONI) zilizofanyika leo Jumapili ya tarehe 27/02/2022. Mbizo hizo zimekuwa ni mwendelezo na utamaduni wa EFL katika suala zima la michezo ikiwa ni pamoja na  kuandaa, kushiriki na kusaidia vikundi mbalimbali vya michezo